Wanaandikiwa thawabu kwa nia zao njema

Swali: Mwenye hedhi na mwenye damu ya uzazi wanaandikiwa thawabu?

Jibu: Kunatarajiwa juu yao kheri muda wa kuwa nia zao ni njema. Kama isingelikuwa kwa ajili ya udhuru wangelifanya [´ibaadah walizokatazwa]. Kwa hivyo wanalipwa thawabu – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22911/هل-للحاىض-والنفساء-الاجر-بالنية-حال-العذر
  • Imechapishwa: 15/09/2023