Kuipa nyongo dunia na kujichunga

Swali: Ni ipi tofauti kati ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuipa kwake nyongo dunia (زهد) na kujichunga kwake (ورع)?

Jibu: Kuipa nyongo ni katika mambo asiyoyahitajia na hayana umuhimu. Kujichunga ni kuacha mambo yenye utata.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22173/الفرق-بين-زهده-عليه-الصلاة-والسلام-وورعه-في-الدنيا
  • Imechapishwa: 29/10/2022