Swali: Je, inafaa kusema ´Aliy Allaah ameutukuza uso wake (علي كَرَّم الله وجهه)?

Jibu: Asema “Radhiya Allaahu ´anh”. Kusema hivo ni Bid´ah. Ni miongoni mwa Bid´ah za Shiy´ah. Unatakiwa kusema ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) kama inavosemwa juu ya Abu Bakr as-Swiddiyq, ´Umar na ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anhum).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22167/حكم-قول-علي-كرم-الله-وجهه
  • Imechapishwa: 29/10/2022