Swali: Je, ad-Dajjaal yuko hai hivi sasa?

Jibu: Kinachotambulika ni kuwa yuko hai katika Hadiyth iliopokelewa na Muslim katika “as-Swahiyh” yake. Yupo lakini ni mwenye kuwekwa kizuizini mpaka atakaporuhusiwa kutoka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22163/هل-الدجال-حي-الان
  • Imechapishwa: 29/10/2022