Swali: Mwenye kuhudhuria kwenye maulidi anapata dhambi ijapo lengo lake ni kwa ajili ya kula?
Jibu: Haijuzu kuhudhuria. Ukihudhuria umewapata nguvu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule katika nyinyi atakayeona maovu, basi ayazuie kwa mkono wake. Asipoweza, afanye hivo kwa mdomo wake. Asipoweza, afanye hivo kwa moyo wake – na hiyo ni imani dhaifu kabisa.”
Kukemea kwa moyo haina maana kwamba ukaketi chini. Sivyo hivyo. Unatakiwa kubadilisha sehemu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
- Imechapishwa: 05/01/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)