Rabiy´ al-Madkhaliy: Shaykh Haafidhw (Rahimahu Allaah) amesema…
Msikilizaji: Kuna ambao wanachukua video.
Rabiy´ al-Madkhaliy: Wanachukua video?
Msikilizaji: Ndio.
Rabiy´ al-Madkhaliy: Usichukue picha. Picha ni haramu:
“Allaah amewalaani watengeneza picha.”
Picha ni haramu.
“Watu wataokuwa na adhabu kali siku ya Qiyaamah ni watengeneza picha.”
Hatuzungumzii siasa na maneno ya kipuuzi. Tunazungumzia dini, elimu na Tawhiyd. Tuchukue picha ndani yake?
- Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=147591
- Imechapishwa: 27/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket