Swali: Je, inafaa kuchukua mali ya makafiri ambao wanatangaza waziwazi vita na waislamu?

Jibu: Hapana. Haichukuliwi mali ya kafiri isipokuwa kwa ngawira kwenye jihaad katika njia ya Allaah. Haijuzu kuchukua mali ya kafiri na kusema eti inafaa. Isitoshe mara nyingi kunakuwa na mikataba kati yao na waislamu. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 15/08/2024