Sio Khawaarij – ni wabaya zaidi kuliko Khawaarij

Swali: Umetaja kwamba Khawaarij hawaonelei kufaa adhabu ya kupiga mawe. Licha ya hivo tunawaona Khawaarij wa leo wakiwapiga mawe wazinzi. Je, wanatofautiana na wale wa kale?

Jibu: Ni wepi Khawaarij hii leo? Hawa ni wanaeneza maharibifu ardhini. Sio Khawaarij – hawa ni duni zaidi kuliko Khawaarij.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 15/08/2024