Swali: Je, kuna miaka maalum inayojuzisha kukata mkono wa mwizi hata ikiwa ni mtoto mdogo ambaye bado kubaleghe?
Jibu: Adhabu za kidini hazitekelezwi isipokuwa kwa ambao wameshabaleghe na wenye akili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
- Imechapishwa: 15/08/2024
Swali: Je, kuna miaka maalum inayojuzisha kukata mkono wa mwizi hata ikiwa ni mtoto mdogo ambaye bado kubaleghe?
Jibu: Adhabu za kidini hazitekelezwi isipokuwa kwa ambao wameshabaleghe na wenye akili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
Imechapishwa: 15/08/2024
https://firqatunnajia.com/adhabu-kwa-mtoto-ambaye-hajabaleghe/