Swali: Akipiga chafya mtu zaidi ya mara nne. Tumwambie nini mara ya nne na baada yake?

Jibu: Haya yanakuwa ni maradhi. Anaombewa shifaa.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–1428-03-04.mp3
  • Imechapishwa: 22/09/2020