Kafara kwa ajili ya kugusagusa tupu ya mwanamke

Swali: Kafara inakuwa kwa yule aliyegusa tupu ya mwanamke mwenye hedhi au kafara inakuwa kwa yule aliyemjamii tu?

Jibu: Kafara ni kwa yule aliyemjamii tu. Ama mwenye kugusa tupu yake hana juu yake kafara. Kwa kuwa hii sio jimaa.

Check Also

Mume kuangalia uchi wa mke wake

Swali: Inajuzu kwa mwanaume kuangalia uchi wa mke wake na ni upi mpaka ulioruhusiwa? Jibu: …