Swali: Je, ni katika sharti za kusihi kwa ndoa mwanamke kipindi cha ndoa awe twahara na asiwe na hedhi?

Jibu: Hapana. Hakuna yeyote aliyesema hivi. Inajuzu kwake kufunga ndoa ilihali yuko na hedhi. Lakini [mume] asimjamii mpaka atwaharike na kuoga. Ama ndoa ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13221
  • Imechapishwa: 20/09/2020