Kafara kwa mwanamke aliyelazimishwa jimaa wakati wa hedhi

Swali: Ikiwa mwanamke mwenye hedhi ameridhia jimaa, je, ana kafara kama mume?

Jibu: Ikiwa ameridhia, bila ya shaka yuko na kafara. Ama ikiwa makusudio yake anataka kusema kuwa hakuridhia hilo, bi maana amelazimishwa, hana kafara.

Check Also

Mume kuangalia uchi wa mke wake

Swali: Inajuzu kwa mwanaume kuangalia uchi wa mke wake na ni upi mpaka ulioruhusiwa? Jibu: …