Inafaa kisigino cha mwanamke kuonekana anaposujudu?

Swali: Ni wajibu kwa mwanamke kufunika kisigino chake wakati anaposujudu katika swalah?

Jibu: Ndio, ndani ya swalah yote. Anatakiwa kujisitiri. Mwili mzima wa mwanamke ni ´Awrah katika swalah. Isipokuwa tu uso wake ikiwa mbele yake hakuna wanaume ambao si Mahram zake. Ikiwa anaswali mbele ya wanaume ambao sio Mahram zake anatakiwa kufunika uso wake pia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020