Mume ana haki ya kumzuia mkewe kwenda kwao?

Swali: Ni haki kwa mume kumzuia mkewe kusafiri kwenda kwa familia yake nje ya nchi hii?

Jibu: Ndio. Hatakiwi kusafiri isipokuwa kwa idhini yake. Hivyo ana haki ya kumzuia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04)
  • Imechapishwa: 25/08/2020