Kitu cha kwanza cha kuanza kuwafunza washamba

Swali: Sisi tuna mabedui na watu wajinga wengi. Ni vipi tutawafunza dini yao na tuanze kuwafunza nini?

Jibu: Anzeni kwa kuwafunza twahara, wudhuu´, swalah na hukumu za swalah. Muhimu kuliko yote ni ´Aqiydah. Wafunzeni ´Aqiydah sahihi ijapokuwa kwa njia ya mukhtaswari. Wafunzeni shirki na Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04)
  • Imechapishwa: 25/08/2020