Swali: Katika mji wetu misikiti mingi iko na makaburi. Tunawatahadharisha watu juu ya minbari kwenda kwenye misikiti hiyo na kuswali ndani yake. Tunafanya sawa?

Jibu: Huu ndio wajibu wenu kuwabainishia watu kwamba hichi ni kitendo cha haramu, hakijuzu, ni njia inayopelekea katika shirki na kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amemlaani mwenye kufanya hivo. Wabainishieni watu hili. Kuna juu yako isipokuwa kufikisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (43) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2019%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020