Tabarruk kupitia vitambaa na vikombe vilivyo na Aayah za Qur-aan

Swali: Kwetu kuna watu wenye kutafuta baraka kupitia vitambaa na vikombe ambavyo vimeandikwa Aayah za Qur-aan. Ni ipi hukumu ya kutafuta baraka kupitia vitu kama hivi?

Jibu: Haijuzu. Haijuzu kutafuta baraka kupitia vitu kama hivi kama vitambaa, vyombo na mfano wa hivyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (43) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2019%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020