Kufanya kazi katika kampuni yenye kuchukua mikopo ya ribaa

Swali: Nafanya kazi katika shirika ambalo linachukua mikopo ya ribaa. Ninapa dhambi kwa kufanya kazi?

Jibu: Usifanye kazi. Ikiwa faida zake zinatokamana na ribaa usifanye kazi. Tafuta kazi katika shirika lisilokuwa na ribaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020