Imamu asisome kisimo kisichotambulika

Swali: Je, inafaa kwa imamu  kusoma kisomo ambacho waswaliji wa msikitini hawakitambui?

Jibu: Hapana. al-Lajnah ad-Daaimah wametoa fatwa juu ya hilo; ya kwamba haijuzu kwa imamu kusoma kisomo kisichokuwa kisichokuwa cha watu wa mji, kwa sababu anawashawishi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 02/06/2023