Mswaliji asiyekuwa mwarabu kuomba kwa lugha yake

Swali: Je, inafaa kwa muislamu asiyekuwa mwarabu, ambaye anataka kumuomba Mola wake katika swalah ya faradhi, kuomba kwa lugha yake?

Jibu: Ndio, aombe kwa lugha yake. Haimtatizi Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 02/06/2023