Swali: Baadhi ya maimamu wa misikiti mikubwa wanakuja mapema na kuketi pamoja na waswaliji saa moja kabla ya swalah. Alipoambiwa kuwa Sunnah ni kuja wakati wa Khutbah akasema kuwa bora ni yeye kupata ujira.
Jibu: Sijui kikwazo chochote. Ni lazima kuoanisha kati ya matendo na maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kwa hivyo hakuna mgongano kati ya maneno na vitendo. Atakayekuja kuchelewa hapana vibaya au kutokana na udhuru. Na ambaye atakuja mapema hapana vibaya. Kwa sababu maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hayapingani na vitendo yake. Matendo yake yanafasiriwa kwa vitendo vyake na maneno yake yanafasiriwa kwa vitendo vyake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23728/حكم-تبكير-خطيب-الجمعة-قبل-الاذان-بوقت
- Imechapishwa: 13/04/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)