Maamuma kuswali kwa kusimama nyuma ya imamu

Swali: Je, imamu akiswali kwa kuketi chini maamuma na wao waswali kwa kuketi chini?

Jibu: Wakiswali kwa kuketi chini ndio bora zaidi. Na wakiswali kwa kusimama hapana vibaya. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwakubalia katika swalah ya mwisho kuswali kwa kusimama nyuma ya Abu Bakr.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23729/حكم-المامومين-اذا-صلى-الامام-جالسا
  • Imechapishwa: 13/04/2024