Ibn Baaz kuhusu kuvaa suruwali na shati sio kujifananisha

Swali: Katika baadhi ya miji ya kiarabu wanavaa mavazi yanayofanana na mavazi ya makafiri lakini hata hivyo hawakukusudia. Wameyazowea kuwa katika mavazi yao. Mfano wa mavazi hayo ni kama suruwali na shati.

Jibu: Sio kujifananisha muda wa kuwa yanavaliwa na waislamu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22637/حكم-لبس-ما-يشبه-ملابس-الكافرين-دون-قصد
  • Imechapishwa: 14/07/2023