Swali: Ni ipi hukumu kwa anayejinasibisha na kutafuta elimu na anatafuta fataawaa mbovu zinazoenda kinyume na wanachuoni?
Jibu: Huyu sio mtafutaji wa elimu. Huyu ni mtafutaji wa fitina. Huyu ni mtafutaji wa fitina na wala hatumwiti kuwa ni mtafutaji wa elimu. Mtafuta elimu ni yule anayetafiti haki. Huyu ndiye mtafutaji elimu. Ni yule anayetafiti haki na dalili. Ama yule anayepekua fataawaa mbovu na maneno ya tofauti, huyu tunasema kuwa ni mtafutaji wa fitina na sio mtafutaji wa elimu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-07.mp3
- Imechapishwa: 17/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)