Hajj ina masharti yake. Miongoni mwayo ni haya yafuatayo:
1 – Kubaleghe.
2 – Akili.
3 – Uislamu.
4 – Mtu kuwa huru.
5 – Uwezo.
Sharti tano. Kukikosekana sharti moja hajj sio wajibu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/430-431)
- Imechapishwa: 11/06/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)