Kuwatengea marafiki maeneo ambao hawajafika

Swali: Kuna wanafunzi wanaokuja msikitini mapema kufuatilia darsa na wanatenga maeneo kwa ajili ya marafiki zao ambao bado hawajafika. Je, inafaa?

Jibu: Ikiwa wana uhakika kuwa watakuja, hapana neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 11/06/2023