‘Arshi iko juu ya viumbe wote

Miongoni mwa jumla ya kumuamini Allaah ni pamoja na kuamini ya kuwa Allaah Yuko juu ya kila kitu. Uamini kuwa Allaah amelingana juu ya ´Arshi Yake. ´Arshi iko juu ya viumbe vyote. ´Arshi ndio kiumbe kikubwa katika viumbe tunavovijua.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/434)
  • Imechapishwa: 11/06/2023