Miongoni mwa adabu zake ni kuisoma kwa moyo uliyohudhuria kwa njia ya kwamba kuzingatia kile anachokisoma ambapo akafahamu maana yake, moyo wake ukapatwa na woga na akahudhurisha ndani ya moyo kwamba Allaah anazungumzisha yeye kupitia Qur-ana hii. Kwa sababu Qur-aan ni maneno ya Allaah (´Azza wa Jall).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majaalis Shahr Ramadhwaan, uk. 93
- Imechapishwa: 27/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)