Swali: Vipi kuhusu kuweka hita upande wa Qiblah kwa sababu ya baridi kali?

Jibu: Kuiweka kuliani, kushotoni au kwa nyuma ni salama zaidi ili asijifananishe na waabudia moto. Hata hivyo malengo yao sio hayo – Allaah akitaka. Hivyo hapana neno.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22787/ما-حكم-وضع-الدفايات-في-القبلة-لشدة-البرد
  • Imechapishwa: 24/08/2023