Mwezi mwandamo katika mji unaotegemea hesabu

Swali: Kuna mtu ameona mwezi mwandamo katika mji ambao wanategemea hesabu. Je, awafate au afunge?

Jibu: Afunge. Afunge akiwa katika mji ambao hawatendei kazi kuonekana kwa mwezi mwandamo. Lakini asifunge ikiwa mji huo wanatendea kazi kuonekana kwa mwezi mwandamo. Ikiwa wanategemea hesabu afuate Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22784/حكم-من-راى-الهلال-في-بلد-لم-تعمل-بالروية
  • Imechapishwa: 24/08/2023