Swali: Je, virutubisho anavyowekwa mgonjwa kwa njia ya damu vinafunguza?

Jibu: Ndio, vinamfunguza. Isipokuwa ikiwa ni damu kidogo kama damu kwa ajili ya kipimo. Hiyo inasamehewa. Damu inayochukuliwa kutoka kwenye kidole au kwengine kwa ajili ya kipimo ni yenye kusamehewa. Virutubisho vinavyowekwa kwa njia ya damu vinafunguza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22788/حكم-المغذيات-التي-توضع-للمريض-الصاىم
  • Imechapishwa: 24/08/2023