Ibn Baaz kuhusu kutumia Hadiyth dhaifu II

Swali: Inafaa kuzifanyia kazi Hadiyth za kuhamasisha ingawa ni dhaifu?

Jibu: Zikiwa hazipungui mbili basi inakuwa nzuri kutokana na zingine. Lakini ikiwa ni moja dhaifu haijengewi hoja. Hata hivyo inaweza kutajwa katika ubora wa matendo tu kwa ajili ya kushajiisha katika mambo ya kheri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22789/ما-حكم-العمل-بالحديث-الضعيف-في-الرغاىب
  • Imechapishwa: 24/08/2023