Swali: Nataka kusimama usiku kuswali lakini nachelea kupitiwa na usingizi na kushindwa kuamka. Kwa ajili hiyo, silale isipokuwa baada ya kuswali ambapo huswali swalah ya usiku moja kwa moja baada ya ´Ishaa. Nina muda mrefu nafanya hivo. Je, swalah hiyo inazingatiwa ni kama kisimamo cha usiku?

Jibu: Ndio, hiyo ni katika kisimamo cha usiku na himdi zote anastahiki Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/9500/هل-الصلاة-بعد-العشاء-مباشرة-من-قيام-الليل
  • Imechapishwa: 05/04/2023