Swali: Je, ni sahihi kusema kuwa kila kitu kinachomshughulisha mtu na kumtii Allaah ya kwamba kitu hicho ni katika fitina?

Jibu: Ndio. Kila kitu kinachomshughulisha mtu na kumtii Allaah ni katika fitina. Hili hali shaka ndani yake ya kwamba kila kinachoshughulisha na kumtii Allaah ni aina ya fitina.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah (3) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ftn–1432-08-17.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015