Swali: Ni yapi maoni yako juu ya sifa ya kundi lililookoka, Firqat-un-Naajiyah? N kina nani? Ni upi mfumo wao? Ni ipi nchi yao ikiwa kama hilo limetajwa katika Hadiyth au maneno ya wanachuoni?
Jibu: Kundi lililookoka ni lile liliyoko katika mfano wa yale aliyokuwemo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifasiri hivyo. Mfumo wao ni kuwa wanafuata Qur-aan na Sunnah. Hawana mji maalum.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/159)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)