Maana ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah kwa mujibu wa al-Lajnah ad-Daaimah

Swali: Ni ipi maana ya istilahi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah? Je, wanachuoni wa masomo ya Burayluu India wanazingatiwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na kwa nini?

Jibu: Ni wale waliyomo katika mfano wa yale aliyokuwemo Muhammad bin ´Abdillaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake wote. Hawa ndio Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/156-157)
  • Imechapishwa: 24/08/2020