Damu inayotoka kwenye kiwindwa ni najisi

Swali: Damu inayomwagika kutoka kwenye kiwindwa inapoingia ndani ya nguo inakuwa najisi ambayo ni lazima kuiosha?

Jibu: Ndio. Aioshe. Ni kama damu nyingine yote inayotoka kwenye mishipa. Mnyama anakufa kwa damu hiyo. Kwa hiyo anatakiwa kuiosha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 01/12/2023