Swali: Je, inafaa kumchinja mnyama mwenye magonjwa sugu yasiyopona kwa ajili ya kumstarehesha?

Jibu: Hapana. Inafaa kuchinja peke yake kwa ajili ya kula. Ikiwa anamchinja kwa ajili ya kumla, amchinje. Ikiwa hafikirii kumla, amwachie Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Pengine Allaah akamponya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 01/12/2023