Kufanya biashara ya mbwa wa mawindo

Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza mbwa za mawindo?

Jibu: Haijuzu kufanya biashara ya mbwa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kufanya biashara ya mbwa. Ni mbwa wako, lakini haifai ukamuuza. Haijuzu kufanya biashara ya mbwa wala paka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 01/12/2023