Damu inayomtoka mjamzito sio hedhi

Swali: Ni ipi kauli ilio na nguvu kuhusu damu inayomtoka mwenye ujauzito? Je, inahesabika ni damu ya hedhi inayomzuia kuswali na kufunga?

Jibu: Mwanamke mwenye ujauzito hapati hedhi. Mimba hujulikana kwa hedhi kukatika. Akitokwa na damu hiyo sio hedhi bali ni damu safi ambayo hatakiwi kuacha swalah kwa ajili yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020