Swali: Mimi ni kijana ambaye nimeshahiji zaidi ya mara moja. Ni lipi bora hivi sasa; nihiji mwenyewe tena au nimpe gharama za pesa muislamu ambaye bado hajahiji hajj ile hajj ya kwanza ambayo ni faradhi?
Jibu: Bora ni wewe kumpa ambazo atatekeleza hajj ya faradhi. Huenda ukaandikiwa thawabu mfano wake. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuandaa jeshi naye amepigana na mwenye kumbakilia kwa ajili ya familia yake kwa wema amepigana.”
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (62) http://binothaimeen.net/content/1395
Swali: Mimi ni kijana ambaye nimeshahiji zaidi ya mara moja. Ni lipi bora hivi sasa; nihiji mwenyewe tena au nimpe gharama za pesa muislamu ambaye bado hajahiji hajj ile hajj ya kwanza ambayo ni faradhi?
Jibu: Bora ni wewe kumpa ambazo atatekeleza hajj ya faradhi. Huenda ukaandikiwa thawabu mfano wake. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuandaa jeshi naye amepigana na mwenye kumbakilia kwa ajili ya familia yake kwa wema amepigana.”
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (62) http://binothaimeen.net/content/1395
https://firqatunnajia.com/bora-kwenda-kuhiji-tena-au-kumsafirisha-ambaye-hajahiji/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)