Miongoni mwa Bid´ah za al-Hajuuriy ambazo amewashinda Haddaadiyyah:
1 – Sote tumesikia maneno yake juu ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kama ilivyo kwa sauti yake ambapo anamtia Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) – ambaye hatamki kwa matamanio yake na hayakuwa ayasemayo isipokuwa ni Wahy – katika njia za Da´wah[1]. Pamoja na kuwa wakati huo huo anakubali kuwa njia za Da´wah ni zenye kukomeka (Tawqiyfiyyah). Hayo yametajwa katika kitabu chake ”al-Kanz ath-Thamiyn” (04/516). Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anakosea katika ambayo ni Wahy na ni yenye kukomeka! Haikutambulika tawbah ya al-Hajuuriy juu ya uchafu wenye kutia aibu juu ya haki ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
2 – Kuwahujumu baadhi ya Maswahabah wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambapo amewatuhumu Bid´ah chafu ambayo ni ya Irjaa´ na akadai kwamba wa kwanza kuifanya ni Maswahabah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Bali miongoni mwa wale walioshuhudia Badr na wakashuhudia Hijrah mbili.
3 – Hakumsalimisha hata al-Aqraa´ bin Haabis (Radhiya Allaahu ´anh). Amemweleza kuwa ni mwenye tabia ngumu na moyo msusuwavu katika kitabu “Iswlaah-ul-Mujtama´” uk. 544 kilichohakikiwa na al-Hajuuriy na hakuyatilia taaliki kutokana na uchache wa elimu na kuonelea kwake Maswahabah si lolote si chochote.
4 – Katika kitabu hicho hicho al-Bayhaaniy anaeleza kuwa baadhi ya Maswahabah ya kwamba ni wapumbavu – سفهاء – kama ilivyo katika ukurasa wa 672. Kwenye kitabu hicho kumeandikwa “Takhriyj, kuhakikiwa na kufanyiwa taaliki na Yahyaa al-Hajuuriy…
5 – al-Hajuuriy amemhujumu ´Uthmaan kwa namna mbaya sana. Amemtuhumu Bid´ah, kwamba amezua katika dini na kwamba ameleta Bid´ah ambayo ndio ´mama/msingi wa Bid´ah` na kwamba amezua Bid´ah katika hukumu za ijumaa…[2]
6 – Madai yake ya kwamba Maswahabah walishiriki katika kumuua ´Uthmaan…
7 – Kuwahujumu kwake Maswahabah wa Badr (Radhiya Allaahu ´anhum) na kwamba walimuasi Allaah mara mbili….
8 – Kuthibitisha kwake ´Aqiydah ya Ashaa´irah katika ufafanuzi wake wa “as-Safaariyniyyah” uk. 152 ambapo amethibitisha kujuzu Allaah kuwaadhibu viumbe pasi na dhambi….
9 – Amethibitisha kanuni ya ufafanuzi na ujumla kwa njia mbaya kabisa kushinda njia ya Abul-Hassan.
10 – Kuthibitisha kwamba Ahl-us-Sunnah ndio kundi lililo karibu zaidi na haki[3].
11 – Amemuiga [Mahmuud] al-Haddaadiy ambapo hatofautishi kati ya mzushi anayelingania katika Bid´ah na mzushi asiyelingania katika Bid´ah.
- Muhusika: Shaykh ´Arafaat bin Hasan bin Ja´far al-Muhammadiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Bayaan al-Fawriy (02/18)
- Imechapishwa: 22/10/2016

[1] Tazama 179
[2] Tazama 954
[3] Tazama 448
Muhusika: Shaykh ´Arafaat bin Hasan bin Ja´far al-Muhammadiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Bayaan al-Fawriy (02/18)
Imechapishwa: 22/10/2016
https://firqatunnajia.com/baadhi-ya-bidah-ambazo-al-hajuuriy-anawapiku-haddaadiyyah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)