Swali: Ikiwa nililala na sikuamka isipokuwa baada ya kupita swalah ya mkusanyiko – niswali nyumbani au msikitini?
Jibu: Nyumbani. Hadiyht inasema kwamba mwenye kukosa swalah ya mkusanyiko kwa sababu ya udhuru basi anapata thawabu sawa na aliyesali mkusanyiko. Vivyo hivyo ikiwa mtu atatawadha na kwenda msikitini, hata hivyo akakosa mkusanyiko kwa sababu ya udhuru, basi anahesabiwa kama ameswali mkusanyiko. Lakini mwenye kukosa bila sababu ya udhuru atapoteza thawabu za mkusanyiko.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24895/هل-يصلي-في-البيت-من-نام-وفاتته-الجماعة
- Imechapishwa: 28/12/2024
Swali: Ikiwa nililala na sikuamka isipokuwa baada ya kupita swalah ya mkusanyiko – niswali nyumbani au msikitini?
Jibu: Nyumbani. Hadiyht inasema kwamba mwenye kukosa swalah ya mkusanyiko kwa sababu ya udhuru basi anapata thawabu sawa na aliyesali mkusanyiko. Vivyo hivyo ikiwa mtu atatawadha na kwenda msikitini, hata hivyo akakosa mkusanyiko kwa sababu ya udhuru, basi anahesabiwa kama ameswali mkusanyiko. Lakini mwenye kukosa bila sababu ya udhuru atapoteza thawabu za mkusanyiko.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24895/هل-يصلي-في-البيت-من-نام-وفاتته-الجماعة
Imechapishwa: 28/12/2024
https://firqatunnajia.com/aswali-nyumbani-au-msikitini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)