Swali: Kuna mtu ambaye anajiita ”Salafiy”. Hata hivyo nasema kuwa wanazuoni wa Salafiyyuun wa sasa kuwa ni wajinga. Anasema eti hawana elimu nyingine isipokuwa tu mambo ya Fiqh na kwamba wanawafadhilisha watawala. Anasema kuwa watawala ni makafiri. Anaona kufaa kuwepo kwa makundi mengi na kushirikiana nayo. Je, huyu ni Salafiy?

Jibu: Huyu ni Suruuriy.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=IJF21bXIhxk
  • Imechapishwa: 28/12/2024