Swali 43: Ni sababu gani imepelekea kutopokelewa Hadiyth kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) inayojulisha kuwa utoko huo unachenguka wudhuu´ pamoja na kwamba Maswahabah wa kike walikuwa wakipupia kuulizia mambo ya dini yao?

Jibu: Kwa sababu utoko si wenye kumtoka kila mwanamke.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 37
  • Imechapishwa: 20/08/2021