18. Swahabah wa kike ambaye hakupaka rangi mikono yake

08 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:

”Mwanamke mmoja alimjia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kumpa kiapo cha utii. Alikuwa hakupaka rangi mikono yake ambapo hakukubali kiapo chake mpaka alipoipaka rangi.”[1]

[1] Abu Daawuud (2/190), kupitia kwake al-Bayhaqiy (7/86) na at-Twabaraaniy (1/219/2/3918). Hadiyth ni nzuri na Swahiyh na imepokelewa kwa njia nyingi zingine ambazo nimezitaja katika ”ath-Thamar al-Mustatwaab fiy Fiqh-is-Sunnah wal-Kitaab”.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 70
  • Imechapishwa: 10/09/2023