Ni lazima kuweka manuizi juu ya funga ya lazima katika sehemu ya usiku. Iwapo atanuia kufunga na asiamke isipokuwa baada ya kuchomoza kwa alfajiri, basi ajizuie na swawm yake ni sahihi – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Mulakhasw al-Fiqh (01/380)
  • Imechapishwa: 30/03/2021