11. Hadiyth “Hakika watu wenye ujira mkubwa katika swalah… “

307 –  Abu Muusa (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

إنّ أعظَمَ الناسِ أجراً في الصلاةِ أبعدُهم إليها مَمْشىً فأبعدُهم، والذي ينتظرُ الصلاةَ حتّى يصلِّيَها مع الإمامِ؛ أعظمُ أجراً من الذي يُصلِّيها ثم ينام

“Hakika watu wenye ujira mkubwa katika swalah ni wale wanaoiendea kwa miguu kutokea mbali zaidi, kisha wanaofuatia kutokea mbali zaidi. Yule mwenye kusubiri swalah ili aweze kuiswali pamoja na imamu na ujira mkubwa kuliko yule mwenye kuiswali kisha akalala.”[1]

Ameipokea al-Bukhaariy, Muslim na wengineo.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/243)
  • Imechapishwa: 02/12/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy