Swali: Ni ipi hukumu ya kusema hivi “Dawa hii imeninufaisha baada ya Allaah (´Azza wa Jalla)” na kuna ubaya?
Jibu: Hakuna neno. Inatosheleza kusema “Allaah Ameninufaisha kwayo” badala ya kusema “… baada ya Allaah.” Sema “Allaah Ameninufaisha kwayo”.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-5-11.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014